Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hakuna wakunitisha- Man Fongo

Tuesday , 19th Sep , 2017

Msanii wa miondoko ya singeli Man Fongo amefunguka na kudai hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kumhofia katika kazi zake kwa kuwa wote hawajaweza kufikia kile anachokifanya yeye mpaka sasa.

Man Fongo amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuwepo maneno ya muda mrefu kwa wasanii wanaoimba singeli kila mmoja wao kujipa jina la mfalme katika uwimbaji wa muziki huo.

"Hakuna msanii yeyote anayeimba singeli kwamba nikimuona moyo wangu unaweza ukaingia na kitete au hofu, kwa sababu hakuna mwenye wasifu mkubwa kama mimi 'CV', wanatakiwa walitambue hilo. Na kama wanataka niwaogope basi kwanza wafanye vitu vikubwa zaidi yangu, ndiyo nitaweza kuwaogopa lakini kama huna 'CV' kama zangu bado utabakia kuwa 'kinda", amesema Man Fongo.

Kwa upande mwingine, Man Fongo amewataka wasanii wenzake wawe wabunifu katika kufanya muziki wao ili mradi singeli iweze kuonekana siyo muziki wa kurudia rudia maneno kila mara.

Mtazame hapa chini msanii Man Fongo akiendelea kufunguka kuhusu suala lake.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine