msanii wa bongofleva Gelly wa Rhymes
Gelly amesema kuwa, wiki mbili kutoka sasa ataanza kufanya kazi hiyo ya video ya Iyolele, huku kazi nyingine za filamu zikiwa zinaendelea kwa ajili ya burudani ya mashabiki wake.

Staa wa muziki Gelly wa Rhymes, ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake inayokwenda kwa jina Iyolele, amesema kuwa, video ya kazi hii itatoka mara baada ya video ya The One aliyoitambulisha jana kupitia EATV kupata nafasi ya kutosha.