
Staa wa muziki wa miondokop ya Bongofleva nchini Kassim Mganga
Kassim amesema kuwa huwezi kumzuia mtu kuzungumza kutokana na ukweli kwamba kila mtu anazungumza maneno ambayo hujui yupo katika hali gani, akiweka wazi kuwa Q Chilla ni ndugu yake na atazidi kumpa sapoti katika muziki wake.
