
DAVIDO NA MEEK MILL.
Davido amefanya mahojiano na jarida la Fader toleo la February/March 2016 na kuthibitisha kuwa alimlipa rapa huyo kutoka Marekani Meek Mill kiasi cha dola laki mbili ‘$200,000’ sawa na shilingi milioni 436 za kitanzania ili kufanya naye wimbo wa “Fans Mi”.