Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mrap avimbia juhudi zake

Thursday , 15th Jun , 2017

Msanii anayechipukia vizuri sana kwenye game ya Bongo Fleva Mrap Lion amefunguka kwa kusema uongozi wake haugopi kuwekeza pesa nyingi kwenye kipaji chake kwa sababu ya jitihada alizo nazo na alizokuwa nazo awali kabla hata ya kupata uongozi.

Mrap amefunguka hayo ndani ya Planet Bongo ya East Africa radio na kusema kuwa kabla ya kupata uongozi 'Mukii International' alishakuwa na jitihada za kuhitaji kufika mbali, lakini uongozi alioupata  umekuja kumsaidia kutimiza malengo na kwamba hata uwekezaji wanaoufanya ni kutokana na juhudi anazoonyesha

"Ni kweli mimi ni mchanga lakini nina malengo makubwa sana. Nawaza kimataifa zaidi ndio maananajitajhidi kufanya kazi nzuri. Uongozi wangu hautupi pesa bure, nikwa sababu wana imani na mimi kwamba kuna kitu ndani yangu. nakumbuka  video yangu ya kwanza 'hawajui' nili hustle sana mpaka ikakamilika na ilikuwa nzuri japo ubora sityo wa kutosha , lakini kwa sasa nipo chini ya uongozi nafanya kazi kwa kujituma sana hata ratiba yangu ya kuamka imebadilika n, natia bidii mno ndiyo sababu wameamua kuweka hela ya kutosaha kwangu na mimi nawaahidi sintawaangusha" alisema Mrap.

Chini ya uongozi wa Mukii International Mrap amesha achia ngoma mbili ambazo ni 'Its not too late' aliyomshirikisha Mayunga pamoja na hii ya sasa aliyoichia wiki hii 'So Higher'

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine