Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ommy Dimpoz aeleza alivyokata tamaa ya kuishi

Tuesday , 5th Feb , 2019

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amebainisha kuwa alipokuwa kwenye matibabu nchini Ujerumani alikata tamaa na kudhani angepoteza maisha baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya koo kwa muda mrefu baada ya kusemekana kula chakula chenye sumu, hali ambayo ilimfanya afanyiwe upasuaji Afrika Kusini.

"Nilifanyiwa operesheni kwa masaa manane, na nilipofika Ujerumani nilifanyiwa upasuaji na madaktari wa kijerumani wengi zaidi ukilinganisha na Afrika Kusini", amesema

"Nilipokuwa Ujerumani niliona wagonjwa wawili wakiwa wamekufa kwahiyo kupona kwangu ilikuwa ni mipango ya Mungu", ameongeza Ommy Dimpoz.

"Nachoweza kusema kwa mtu kama Steve yeye ana namba yangu, lakini sijawahi kupata meseji ya pole unaendeleaje lakini nashangaa alipotoa kauli kwamba najua Ommy hawezi kuimba, kwa hiyo mtu anapokuwa na matatizo tusitumie hiyo advantage kwani hujui unayemuongelea ataipokeaje".

Katika kuelezea shukrani zake kwa Mungu, mashabiki na watu wake wa karibu katika kipindi chote alichopitia, ameamua kutunga wimbo maalum unaoitwa 'Ni wewe' ambao tayari ameshauachia jana Februari 4.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine