Monday , 22nd Sep , 2014

Msanii wa muziki wa miondoko ya bongo fleva nchini Witnesz Mwaijage ambaye ambaye hivi karibuni alkikuwa mja mzito na alitarajia kujifungua imekuwa bahati mbaya kwake kutokana na kupoteza watoto watarajiwa hao ambao walikuwa ni mapacha.

msanii wa bongofleva Witnesz Mwaijaga

Japokuwa msanii huyu hakupenda kuongelea zaidi juu ya tukio hili la kusikitisha lakini alijitahidi kuongea na eNewz kutokana na kupoteza watoto hao.