Quickrocka
Hayo yamekuja baada ya muda mfupi Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kumuweka pembeni Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
'I don’t feel proud' kuwa Mtanzania 'anymore'…Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa…Huku wanaozingua wanaendelea kupeta. Nape alikua Waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na Wanahabari". Ameandika msanii huyo.