Zahir Zorro
Akipiga story ndani ya eNewz Zorro amesema kuna kiswahili cha Dar es salaam ambacho kwa watu ambao wamezaliwa huku tunakuwa tunakijua vizuri hivyo hata ukiimba wimbo kwa kutumia maneno hayo tunakuwa tunaelewa na hayajengi jamii.
Pia Mzee Zahir Zorro alisisitiza kwamba endapo msanii anataka yeye amtungie nyimbo atamtungia lakini siyo kwa kutunga matusi au kutukana katika nyimbo hivyo anawasihi wasanii kuenzi utunzi wa zamani.