
Z Anto ameongea na eNewz kwa kirefu na kusema kuwa, katika ziara yake huko Kenya, alipata changamoto mbalimbali kutokana na muandaaji wa shoo aliyekuwa anafanya naye kazi kutokuwa mwaminifu, ambapo pia msanii huyu amekanusha taarifa za yeye kuishiwa kiasi cha kukosa nauli baada ya maonyesho yake kufeli.
Huyu hapa Z Anto akielezea zaidi suala zima la ziara yake hiyo
ilivyovurundwa.