Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ifahamu ratiba ya viporo vya Simba

Monday , 21st Jan , 2019

Klabu ya soka ya Simba inakabiliwa na ratiba ngumu ya michezo yake ya ligi kuu pamoja na ile ya kimatafa ambapo mara baada ya michuano ya Sportpesa Super Cup inayoanza 22/01/2018 hadi 27/01/2019 timu hiyo itaondoka kwenda Misri kwa ajili ya kukipiga na Al Ahly.

Wachezaji wa Simba

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari  2, 2019 saa 3 usiku kwa saa za Misri na saa 4 usiku kwa saa za Tanzania na baada ya mechi hiyo Simba itarejea nchini kucheza na Mwadui FC Februari 6, 2019 kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam.

Baada ya mchezo dhidi ya Mwadui Simba itajiandaa na mchezo wa marudiano na Al Ahly utakaopigwa jijini Dar es salaam  Februari 12, 2019  10:00 jioni.

Baada ya mchezo dhidi ya Al Ahly Simba itakuwa na siku 4 za kujiandaa na mchezo dhidi ya Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara timu ya Yanga mchezo ambao utapigwa Februari 16, 2019 kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Ratiba ya mechi zingine.
19/02/2019
Africa Lyon  Vs Simba - Dsm
22/02/2019
Azam Vs Simba - Dsm
26/02/2019
Lipuli vs Simba - Iringa
03/03/2019
Stand United Vs Simba - Shinyanga

Baada ya hapo Simba itarejea Dar es salaam kujiandaa na michezo ya klabu bingwa Afrika ambapo Machi 9, 2019 itakuwa ugenini kucheza na JS Saoura utakaopigwa saa 2:00 usiku kwa saa za Algeria na saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.

Kisha itacheza mchezo wa misho kwenye makundi ambao utapigwa jijini Dar es salaam Machi 16, 2019 dhidi ya AS Vita Club kwenye uwanja wa taifa. Kisha itamaliza mwezi Machi kwa kucheza mechi mbili za ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting na Mbao FC ambazo zote zitapigwa Dar es salaam.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali