Name: Jumanne HamisiKupata viongozi bora ni maamuzi yetu sisi wenyewe, tuwe wazalendo kwa nchi yetu tushiriki uchaguzi ili kupata viongozi makini.Category: Hamasisha