Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3
Ninaishi KIGAMBONI na WAZAZI
Mtaani kwangu najulikanakwa HANCE POP
Mimi nimesoma mpaka DARASA LA 7
Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) KAZI YOYOTE NAFANYA
Mafanikio katika Fani:
Bado sijapata mafanikio makubwa ila napata chochote kitu ata kama kidogo ambacho kina nisaidia kwenye mahitaji yangu madogo.
Year: