SITE
Mara nyingi watu wenye hali ya chini kifedha, wanawatumia mafundi wa mtaani katika ujenzi wa nyumba zao. Bila kujua madhara ambayo yanaweza tokea babaye. Lakini kwa kuwatumia atalamu wa ujenzi wanaweza kutumia taaluma zao katika udingo wa aina yeyete
Fahari ya Nyumba
Katika mpangilio wa vitu au samani katika bafu wataalamu wanashauri kuwa: ili kutotumia vifaa vingi katika kujenga bafu ni muhimu sana sehemu ya sinki la kunawia, la kuogea pamoja na choo vikawa katika ukuta mmoja ili kupumguza garama za mabomba.
Fahari ya Nyumba
Kupitia kipindi cha ujenzi utaweza kufahamu kuwa ni unaweza kupangilia jiko lako katika style ngapi. na kuna umuhimu gani wa kuweka style flani katika jiko lako.