Kimbweta
Wanafunzi wa Kibweheri Sec School wakijadili mada katika kimbweta juu ya elimu bure na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Q and A
Ukikosa kujibu swali kwenye segment hii basi cha kufanya ni kukuna kidevu tuu.
Tokelezea
Wanafunzi wa Kibweheri wakionesha uwezo wa kucheza na kutokelezea katika segment hii.