Submitted by Mndalila on Wednesday , 4th May , 2016
Kutokana na ongezeko kubwa la uingizwaji wa Samani kutoka nje ya nchi, Uswazi imeingia mtaani na kuwauliza waswazi pamoja na mafundi seremala kuwa, "Samani hizo kutoka nje ya nchi zinaathiri vipi samani zinazotengenezwa hapa kwetu?"