Usikose Friday Night Live wiki hii tutakua na 'surprise' moja kali sana tukisherekea miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Si ya kukosa kabisa Ijumaa sa nne usiku