Wednesday , 21st May , 2014

Msanii Brenda Nambi wa nchini Uganda ameachia ngoma yake mpya yenye miondoko ya Pop Iliyobatizwa jina “Hajji – Kyoyagala Kyenkuwa”.

Brenda Nambi

Track hiyo mpya imefanyiwa kazi Didi Studio ambapo kwa sasa mwanadada huyo pia amejikita katika fani ya mitindo ya nguo na urembo.

Brenda aliyewahikuliimbia kundi lake la HB Toxic yupo mbioni kuutangaza zaidi wimbo wake huo nchini Marekani.