Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kauli ya BASATA kuhusu 'video' za Menina

Friday , 11th Oct , 2019

Baraza la sanaa la Taifa (BASATA), limemuita msanii wa filamu nchini Menina Tz, ikiwa ni masaa machache tu, tangu zisambae video na picha zake zisizokuwa na maadili katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital, Katibu Mtendaji wa Baraza la sanaa la Taifa Godfrey Mngereza, amesema ni wazi wamemwita msanii huyo ili kuzungumza naye.

Tumemwita na tumekubaliana tukutane leo, kuhusu kilichotokea kwenye mitandao na mengine tutajua hapo tutakapokutana naye, kuna aina mbili hadi yanatokea hayo inawezekana kutokujua athari za mitandao na wengine wanapokuwa kwenye mahusiano wanajisahau” amesema Mngereza.

Aidha amesisitiza umuhimu wa wasanii nchini kuzingatia Sheria na kanuni ziliwekwa na Baraza hilo.

Sipendi sana niingie kwenye sheria au kanuni kwa sababu ukiangalia yaliyotokea yana pande nyingi sana na sisi sheria zetu ni kuzungumza nae kwanza na kumsikiliza ila kama Baraza cha kwanza ni kumwita kwa sababu anahusika kwenye kazi za sanaa” amesema Mngereza.

Mngereza ameongeza kuwa wao kama Baraza la Sanaa, hawawezi kutoa hukumu hadi uchunguzi utakapokamilika na kushauri watu kuheshimu faragha zao na kwamba masuala ya faragha yawe ya faragha, hakuna haja ya kujirekodi na kuviweka hadharani.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90