Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kocha Stars aeleza sababu ya kumtema Manula

Thursday , 28th Nov , 2019

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Etienne Ndayiragije amesema moja ya sababu ya kuacha kwa Mlinda mlango wa soka wa Simba Aish Manula ni kuwa mchezaji huyo kucheza michezo katika timu yake ya Simba na timu ya Taifa kwa msimu uliopita na kupelekea kushindwa kufanya vizuri

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Etienne Ndayiragije.

kwenye timu ya Taifa.

Kocha Ndayiragije ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Kipenga cha East Africa Radio kinachoruka kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia saa 2 usiku, ambapo amesema kuwa kwa msimu uliopita Simba ilifika mbali sana Kimataifa kwenye Klabu Bingwa Afrika, lakini pia timu ya Taifa ilienda mpaka michuanio ya AFCON.

"Mechi alizocheza Aishi Manula mwaka jana zilimzidi kwa sababu @SimbaSCTanzania ilifika mbali Kimataifa, pia timu ya Taifa ilienda mpaka AFCON, kwa hiyo tuliangalia utaratibu wa kumpumzisha, kwa hiyo hawezi kushuka kiwango' amesema Kocha Ndayiragije

Aidha Ndayiragije amesema kuwa "kuhusu Manula na Kaseja kwenye uwezo wao kuitwa timu ya Taifa, mara nyingi huwa tunaita wachezaji kulingana kiwango chake kwa wakati huo, lakini pia tunaangalia kama atakuwa na kiwango hichohicho tulichokiona ndani ya Klabu"

Aidha Kocha huyo amesema ameomba muda wa kutosha kwa ajili ya kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya michuano ya Kimataifa ikiwemo ya CHAN

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine