Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Uwoya ashindwa kuvumilia hili kwa mpenzi wake

Tuesday , 10th Dec , 2019

Staa wa BongoMovie, Irene Uwoya, amesema atakuwa hana noma akimuona mpenzi wake anam 'kiss, mwanamke mwingine au kumuita majina ya kimahaba, ila kitu atakachokishindwa ni kuona mwenza wake akimsaliti.

Muigizaji wa Filamu nchini, Irene Uwoya.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Irene Uwoya, amesema hayo baada ya watu kujaji urafiki wa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel, kupeana mabusu hadharani jambo ambalo si la kawaida kwa wanawake kufanya hivyo.

"Mimi naona ni kawaida tu ni watu ambao wana urafiki wa muda mrefu, ku-kiss ni vitu vya kawaida tu hakuna kikubwa hapo haimanishi chochote hata kumwita mtu darling ni sawa tu, hata mimi mtu yeyote naweza kumuita hivyo" amesema Irene Uwoya.

Aidha akizungumzia kuhusu mpenzi wake, kufanya kitendo cha kum 'kiss' mwanamke mwingine Irene Uwoya amesema.

"Kwangu mimi mwanaume wangu akimkiss mwanamke itategemea, unajua kuna kiss zinatofautiana ukifanya hivyo katika hali ya urafiki inaonekana na ukifanya katika hali ya mapenzi inaonekana pia, mimi nitachukulia kitu cha kawaida cha urafiki hakuna tatizo  ila akinisaliti siwezi kuvumilia" ameongeza. 

HABARI ZAIDI

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania