Monday , 20th Jan , 2020

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amezuiliwa wilayani Mkinga mkoani Tanga, kwa kufanya msafara bila kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba

Lipumba amewasili mkoani humo leo, leo Januari 20, 2020 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuzugumza na wananchama na viongozi wa CUF ambapo alikutana na katazo hilo la polisi.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi wameeleza Lipumba na wenzake hawakutoa taarifa juu ya ujio wa msafara wao wilayani humo.

Tazama video kamili hapo chini.