Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Amuua mpenzi wake na kujikata koromeo

Monday , 23rd Mar , 2020

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Festo Maduhu, Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kisu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Ulrich Matei.

Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 22, 2020 na Kamanda wa Polisi Mkoani humo Ulrich Matei ambapo amesema tukio hili limetokea jana, huku kiini cha tukio hilo kikielezwa kuwa ni wivu wa mapenzi, a,mbapo Maduhu alikuwa akimtuhumu mwenzake kuwa ana mahusiano na mwanaume mwingine.

"Ni kwamba Machi 23, 2020, majira ya saa 09:00 asubuhi, huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Negero, iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, katika chumba namba 111, mwanamke mmoja aitwaye Jesca Michael, Mhudumu wa nyumba ya kulala wageni na bar, aligundulika kuuawa kwa kukabwa shingo na kupigwa sehemu za usoni na mtuhumiwa Festo Maduhu ambaye ni mpenzi wake" imeeleza taarifa hiyo.

Katika ufuatiliaji wa kumkamata mtuhumiwa mara baada ya tukio hilo, mtuhumiwa alikutwa akiwa amejifungia nyumbani kwake na baada ya Askari kuvunja mlango wa nyumba hiyo, alikutwa akiwa anaendelea kujichinja koromeo lake kwa kutumia kisu ambapo Askari Polisi walimuokoa na kumpeleka Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu.
 

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine