Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi maswali ya wananchi

Thursday , 2nd Apr , 2020

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa kutokana na uwepo wa maswali mengi ya wananchi kuhusu ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona, Wizara ipo tayari kuyajibu ambapo maswali yatakuwa yanajibiwa na Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Nyambura Muremi.

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 2,2020, ambapo Waziri Ummy ameyataja baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa, likiwemo lile la nani anakidhi vigezo vya kupimwa COVID-19, ambapo swali hilo limejibiwa na Dkt Muremi.

"Anayepaswa kupimwa ugonjwa wa COVID-19 ni yule aliyetimiza vigezo kama vile mtu kuwa na dalili za ugonjwa huo, kama mtu amepata kirusi, ataanza kuonyesha dalili kama vile kupata homa, hapa ndio tutanza kuchukua kipimo na huu ndio uthibitisho wa kisayansi,” amesema Dkt Muremi.

Akizungumzia taratibu za kupima ugonjwa huo kwa ngazi ya Mkoa Dkt Muremi amesema, "Baada ya kupima huko mikoani wanaleta sampuli Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii  ambayo ina vigezo vitatu vinavyotambulika Kimataifa ambavyo ni usalama wa kibailojia ngazi ya tatu (BSL-3).

Waziri Ummy amesema maswali, maoni na ushauri huo, unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha Wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa inayosababishwa na Virusi vya Corona.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine