Msanii Shetta
Sasa Shetta ameisanua show ya Friday Night Live ya East Africa TV jinsi alivyopata mchongo huo wa kushirikiana na Serikali kufanya kazi kwenye sekta kama hizo.
"Watu wasichukulie hili ni tobo la kutokea unatakiwa ufanye kwa manufaa ya jamii, kwanza nina stori ya kuwaeleza watu kwamba mama yangu alipitia manyanyaso kutoka kwenye familia kabisa mpaka amefariki 2006 alikuwa amepitia hayo mambo ambayo mimi kama mtoto yalinisababishia matatizo na kukosa vitu vya msingi shuleni na mavazi" amesema Shetta
Zaidi na zaidi tazama kwenye video hapa chini