Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wizara ya Maliasili yatoa mwongozo kwa watalii

Saturday , 30th May , 2020

Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka mwongozo maalum kwa kampuni zinazojihusisha na watalii, kuhakikisha kuwa wanakuwa na taarifa za mara kwa mara za tahadhari ya maambukizi ya Virusi vya Corona zinazopaswa kuchukuliwa na kufuatwa kwa usahihi.

Watalii kutoka Mataifa ya Nje.

Mwongozo huo umetolewa na Wizara hiyo kwa lengo la kuhakikisha makampuni hayo yanajiweka tayari ili kuwaepusha watalii kupata maambukizi ya Virusi hivyo na kusisitiza kuwa sehemu zote ambazo ni rahisi kuguswa na mtu yoyote, wahakikishe zinasafishwa kwa kutumia sanitizer zilizothibitishwa.

Aidha Wizara imesisitiza pia kila gari ambalo litatumika kusafirisha ama kutembeza watalii, linatakiwa libandikwe namba ya dharura ya 199.

Mbali na hayo Wizara pia imetoa mwongozo kwa wafanyakazi wa makampuni hayo, kuhakikisha wanapatiwa mafunzo maalum yanayohusiana na Corona, ikiwemo njia za kujizuia na kujikinga na maambukizi kama inavyoshauriwa na Wizara ya Afya.

Katika hatua nyingine Wizara pia imetoa mwongozo kwa viwanja vya ndege, kuhakikisha vinaweka mifumo ya kihabari viwanjani ili kuweza kutambua kama kuna mgonjwa yeyote ndani ya ndege na kutaka abiria wote wafanyiwe vipimo kabla ya kupanda ndege.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine