Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Alikiba aighairisha behewa la ukarimu, aanza upya

Friday , 24th Jul , 2020

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa, msanii wa BongoFleva Alikiba ameghairisha tamasha lake la Kigoma "Behewa la Ukarimu" ambalo alipanga kufanya siku ya Julai 31 mkoani humo.

Msanii wa BongoFleva Alikiba

Akitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram msanii Alikiba ameeleza kuwa  "Habari ndugu zangu Watanzania, kama wengi mlivyosikia Taifa letu limepata msiba wa baba na mlezi Mzee Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu, ni msiba ambao nimeupokea kwa masikitiko imenifikia ghafla sana, lakini ni mapenzi ya Mungu naomba Mungu ampumzishe mahali pema

"Kutokana na msiba huu mzito nimeahirisha show yetu ya Kigoma iliyokuwa ifanyike Julai 31 ili kushiriki  msiba huu wa kitaifa mpaka Agosti 14, pia nimehairisha zoezi la upokeaji michango mbalimbali ambalo nilipanga kulifanya kesho, taarifa za siku ya kupokea michango kwa ajili ya kuweka kwenye  Behewa la Ukarimu  nitatangaza baada ya msiba kumalizika ahsanteni, natoa pole kwa watanzania na wapambanaji wote walioguswa na msiba huu" ameongeza 

Kupitia post zake za nyuma alitangaza kurudi nyumbani kwao kufanya tamasha hilo kwa mara ya kwanza mkoani Kigoma baada ya kupita miaka 6.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine