Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Haki, usawa na maendeleo" - Lissu

Friday , 11th Sep , 2020

Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Tundu Lissu katika kampeni zake zilizofanyika mkoani  Morogoro leo  Septemba 11,2020, amevitaja vipaumbele vyake ambavyo ni haki , usawa na maendeleo ya watu.

Tundu Lissu, mgombea Urais kupitia CHADEMA.

Akizungumza katika kampeni hizo amewataka wananchi hao kufanya maamuzi sahihi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu ili kupata Rais mwenye kujali uhuru na  kuleta maendeleo.

"Niwaombe wana Morogoro muwachague viongozi waliobaki na ambao watarudishwa kwenye rufaa muwapigie kura ili mpate maendeleo", amesema Lissu. 

Mgombea huyo pia amefanya harambee ya kuchangia kampeni hizo, ambapo amedai kuwa ili kampeni ziendelee lazima wasaidiane, "Sijapigwa risasi tu, nimepigwa kiuchumi, nilikua Mbunge na mnajua ulipoishia sasa hii kampeni tunaimalizaje inabidi tusaidiane, mimi nawaombeni mtuchangie sioni aibu".

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine