Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ku-date na watoto wa mwisho tabu sana" - Chris

Thursday , 17th Sep , 2020

Mwanasaikolojia na Mshauri Mahusiano Chris Mauki amesema kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa mwisho kwenye familia ni shida sana kwani wamezoea na kutaka kufanyiwa kila kitu.

Mwanasaikolojia na Mshauri Mahusiano Chris Mauki

Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Chris Mauki amesema uki-date na watoto wa mwisho unaweza ukadhani kama umeoa familia nzima jinsi utakavyomfanyia mtoto wao.

"Oda ya kuzaliwa ina ishu sana matokeo yake wanashindwa kukabiliana nayo, kwenye jamii mtoto wa kwanza anakuwa kiongozi na kufundishwa kufanya maamuzi,  mtoto wa pili anakuwa kama ana-loose kitu kisa mtoto wa kwanza yupo, anayefuatia anakuwa yupo cool sana anapatanisha watu wakikosana, ila wa mwisho wanakuwa hawajishughulishi wanapenda kufanyiwa pia wanakuwa na hisia sana

"Ukidate na mtoto mwisho kwenye famili Utashangaa ukimuona kwenye mahusiano utadhani kama umeoa familia nzima akionekana vibaya utasemwa wewe akikonda utaulizwa wewe au usipompa maziwa utaulizwa wanakuaga na shida sana hii

Pia ameongeza kusema kama wakikutana mtoto wa mwisho na wa mwisho mwenziye kwenye mahusiano yao wanaweza wasifanye maamuzi na wanaweza hata wasijenge kabisa.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine