Wasanii na viongozi wa Konde Gang walivyotokelezea kwenye ushamba party
Party hiyo ilifanyika kwa ajili ya kuukaribisha mwezi wa 11 na walitokelezea kwa kuvaa nguo ya 'style' ya kizamani ambayo kwa sasa inaonekana ya kishamba kama ukiivaa.
Kwa mujibu wa msanii Country Boy ambaye yupo katika lebo hiyo amesema kuwa "Ni unyamwezi na fashion flani hivi ya kizamani ila ya kishamba kwa wakati huu wa kisasa lakini inapendeza zaidi"
Zaidi kuhusu tukio hilo bonyeza hapa chini kutazama.


