
Msanii wa BongoFleva Amber Lulu aliyechuchumaa na mfanyabiashara Uchebe
Akizungumzia kuhusu suala hilo la kudaiwa kuwa na ujauzito wa Uchebe na kutoka kimapenzi na Producer P Funk Majani siku za hivi karibuni Amber Lulu amesema kuwa
"Maisha yangu siyaweki sana 'public' mimi ni mtu wa 'privacy' sana hata kwa watu waliowahi kuwa karibu na mimi wanajua hilo, kwa hiyo usiri wangu unawatesa na hicho kitu mimi nakipenda ndiyo maana wanahangaika halafu nashangaa kwanini wanahangaika na maisha yangu na wananipa vitu kibao mara naambiwa nina mimba ya Uchebe lakini sio kweli" ameeleza Amber Lulu
Zaidi tazama hapa chini kwenye video