Msanii wa BongoFleva Nuh Mziwanda
"Watoto wa mjini wengi hawajasoma wameishia 'form four' darasa la saba na wengine hawajasoma kabisa ila wamejiongeza mjini kuwa na mitikasi ya hapa na pale kuongea na watu halafu pia mtoto wa mjini havimbi huwezi kumiliki vitu kama hujapitia vitu vya utoto wa mjini" amesema Nuh Mziwanda
Msanii huyo ambaye anatokea pande za Ilala Dar Es Salaam, ameongeza kusema huwezi kumiliki vitu kama hujulikani na watoto wa mjini.
Zaidi mtazame hapa chini kwenye video