Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ukimwi hauna nguvu kwa Kristo" - Nabii Tito

Tuesday , 15th Dec , 2020

Mtumishi wa Mungu Nabii Tito amesema kwa sasa yupo katika kampeni nzito inayoitwa hatua ya kwenda mbinguni na kampeni hiyo ipo kwa ajili ya kupinga vita mitume na manabii matapeli.

Picha ya Nabii Tito

Nabii Tito amesema atawataja mitume na manabii hao kwa Serikali ili iwashughulikie kwani wanatumia dini kuwapigia watu na sio kuhubiri kuhusu kuacha dhambi.

"Baada ya kumaliza kampeni ya chama na kufanya nchi iwe ya kijani, sasa hivi nipo katika kampeni kali sana inayoitwa hatua ya kwenda mbinguni, hiyo ni kampeni ya kupinga vita mitume na manabii matapeli

"Sitaki kabisa kuzungumzia mambo mengine zaidi ya kupiga vita matapeli,  wanatumia dini kuwapiga watu na kuuza vitu, nataka niwataje wote ili Serikali ya kijani iwashughulikie maana hawahubiri watu waache dhambi bali wanahubiri ili wapate vitu" ameeleza Nabii Tito 

Aidha amesema yupo katika harakati za watu waache dhambi ili magonjwa yote yakimbie, pia amewataka vijana waokoke kwani ukimwi kwa Kristo hauna nguvu na takwimu zimeongezeka kwa sababu watenda dhambi wameongezeka.

HABARI ZAIDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi

Wasimamizi wa uchaguzi waongezwe posho - Katambi