Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Meneja wa Simba: Tuliyojiwekea yametimia!

Thursday , 15th Apr , 2021

Meneja wa kikosi cha wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, klabu ya Simba, Meneja Patrick Rweyemamu amesema wanashukuru Mungu mipango waliyojiwekea yote imetimia kwenye upande wa michuano hiyo mikubwa afrika.

Meneja wa kikosi cha Simba, Patrick Rweyemamu.

Rweyemamu ameiambia EATV mchana wa leo Aprili 15, 2021 kuwa, Uwezekaji uliofanywa kwenye klabu ya Simba mpaka hivi sasa ndiyo siri ya mafanikio ya klabu hiyo ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Akizungumzia suala la Simba kufuzu robo fainali yamichuano hiyo, Rweyemamu amesema,

“Huu ni takribanbi mwaka wa tatu mfululizo tunashiriki kwenye haya mashindano, na unajifunza kwenye kila hatua unayoendana nayo. Tulianza tukafika robo fainali, tukaja tukatolewa kwenye mashindano kwenye hatua ya awali, tumekuja safari hii kufika robo fainali tena na Mungu akijalia Inshallah tutafika nusu fainali”.

“Kwahiyo huu ni mchakato ambao lazima tuishukutu taaisisi nzima ya Simba Sporst Club, kuanzia mwekezaji, tushukuru kuanzia benchi la ufundi, kuanzia bodi nzima, kuanzia wachezaji na wapenzi na wadau kwa ujumla wao. Ni kitu ambacho tumekidhamiria, ni suala la uwekezaji hakuna amabcho kilichotoka hewani la msingi ni kushukuru mipango tuliyojiwekea yote imetekelezeka.”

Simba imefuzu hatua ya robo fainali mara mbili ndani ya misimu mitatu na sasa inasubiri droo ya hatua hiyo inayotaraji kuchezeshwa tarehe 30 Aprili 2021 nchini Misri ili kujua atapangwa na klabu ipi kati ya CR Buelizdad ya Algeria, Horoya ya Guinea na MC Alger ya Algeria.

 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90