
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema hayo leo Aprili 28, 2021 wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum Mh Rose Tweve ambaye alitaka kujua mkakati wa serikali katika kuvuna viungo kama figo na moyo vyenye mahitaji makubwa.
Dkt. Mollel amesema kwamba kwasasa Wizara ipo kwenye hatua ya ukusanyaji wa maoni kutoka kwa wadau na muswada huo utawasilishwa bungeni rasmi mwezi Septemba.
Zaidi tazama video hapa