Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Museveni

Wednesday , 12th May , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Mei 12, 2021 kwenda nchini Uganda.

Rais Samia alipokuwa akiondoka

Rais Samia atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala, leo tarehe 12 Mei, 2021.

Tazama video hapo chini