Msanii Niva Supa Marioo
"Shukrani kwa Rais Samia kwa kutukumbuka wasanii, kila siku tunaona ma DC wanatokea Polisi au Usalama lakini safari hii ametukumbuka sisi na BongoFleva na hajapendelea".
"Wilaya ambayo ndugu yetu yupo tunaenda kutia kambi kumsapoti kama wiki na kuitangaza wilaya yake watu wajiandae, tunapekeka Vibe hata kama kijijini patakuwa mjini kwa dakika sifuri" amesema Niva Marioo
Chopa Mchopanga na ameapishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi na tayari ameshaanza kazi katika wilaya hiyo.