
Picha ya msanii Roma, Professor Jay na Fid Q
Leo tumekuandalia list ya wababe wa YouTube ambao wana watazamaji wengi zaidi wa jumla kupitia project zao zote walizoziweka huko na wanaingiza pesa kutokana na watazamaji wa kazi hizo.
List kamili hii hapa;
Roma Mkatoliki – Watazamaji Milioni 35 (alijiunga Julai 12,2016)
Professor Jay – Watazamaji Milioni 27 (alijiunga Januari 17,2013)
Ay - Watazamaji Milioni 19 (alijiunga Oktoba 26,2011)
Dogo Janja - Watazamaji Milioni 19 (alijiunga Machi 25,2012)
Nay Wamitego - Watazamaji Milioni 18 (alijiunga Julai 26,2014)
Mwana FA - Watazamaji Milioni 13 (alijiunga Julai 28,2014)
Fid Q – Watazamaji Milioni 10.2 (alijiunga Maei 26,2014)
Country Wizzy – Watazamaji Milioni 8.1 (alijiunga Jan 24,2012)
Joh Makini – Watazamaji Milioni 8 (alijiunga Januari 31,2010)
Stamina - Watazamaji Milioni 6 (alijiunga Mei 19, 2017)