Saturday , 21st Aug , 2021

Staa wa Bongo Fleva Chinga, Ibraah kutoka Konde Gang amefunguka sababu za kum-post Fahyma 'Mama Jaydan' ambaye ni mzazi mwenza na Rayvanny kupitia mitandao yake ya kijamii siku za hivi karibuni.

Picha ya Ibraah na Fahyma

Msikilize hapa Chinga wakati aki-open up kupitia Friday Night Live ya East Africa Tv