Sunday , 29th Aug , 2021

Ikiwa leo Agosti 29, 2021 ni kilele cha Wiki ya Mwananchi, ambayo inafanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Dar es salaam, tayari mashabiki wa klabu ya Yanga wameshaingia tayari kwa sherehe za kilele hicho.