
Aliyekuwa mlinda mlango wa Mwaadui FC iliyoshuka daraja, Mussa Mbisa akishika jezi ya timu yake mpya ya Coastal Unioni ya Tanga baada ya kusaini nao mkataba wa miaka miwili.
Kipa huyo amesajiliwa baada ya kuonesha kiwango kizuri akiwa na Mwadui FC hususani kwenye mchezo dhidi ya Yanga ambapo Mwadui walifungwa mabao 3-2 huku akifanikiwa kuokoa penalti ya Fiston Abdulrazak.
Coastal Union wameandika kupitia ukurasa wao wakijamii wa Instagram kuwa; "Tunawashukuru kwa mchango wenu mkubwa mlioutoa kwetu na tunawatakia mafanikio mema mlikokwenda kutafuta changamoto mpya".
Wachezaji hao waliochwa ni;