Saturday , 4th Sep , 2021

Klabu ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake mkoani Morogoro imemtambulisha kiungo Said Ndemla kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Simba Sc.

Picha ya Mchezaji Said Ndemla

Wachezaji wengine waliotolewa kwa mkopo kutoka kwa ‘’Wekundu wa Msimbazi’’ Simba ni Ibrahim Ame (Mtibwa Sugar), David Kameta ambaye amejiunga na klabu ya Biashara United.