Tuesday , 7th Sep , 2021

Msemaji wa klabu ya Yanga SC Haji Manara leo Septemba 7, 2021 ametambulishwa kwa wazee wa Yanga katika makao makuu ya timu hiyo.

Haji Manara akifanyiwa dua na wazee wa Yanga SC

Wazee wamemkaribisha kwa kumuombea dua ndipo akaingia ofisini kuendelea na kikao cha ndani.

Tazama Video hapo chini