Tuesday , 28th Sep , 2021

Legend wa BongoFlava Dully Sykes 'Brotherman' anasema Harmonize ni kijana wake kama walivyo vijana wake wengine na hana tatizo naye kama inavyochukuliwa na watu.

Picha ya Dully Sykes kushoto, kulia ni Harmonize

Dully Sykes ameongeza kusema baadhi ya watu mitaani na mitandaoni ndio wanasababisha maneno na story zinazoendelea ila kwao hawana tatizo lolote na ikitokea kufanya kazi nyingine na Harmonize wataifanya.

Zaidi mtazame hapa kwenye video.