Mgombea huyo amepata kura 2391kati ya kura halali 3338 zilizopigwa.
Uchaguzi huo ulikuwa na jumla ya wagombea wanne (4) ambapo mgombea Hamad Khamis Mbarouk wa AAFP alipata kura 55, Mbarouk Amour wa CCM amepata kura 794 na Salama Khamis Omar wa CUF amepata kura 98. Wapiga kura waliojiandikisha ni 6636, waliopiga kura ni 3408, kura halali ni 3338 na kura zilizoharibika ni 70.





