Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Germany ya kwanza kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022

Tuesday , 12th Oct , 2021

Timu ya Ujerumani imekuwa timu ya kwanza kufuzu kushiriki kombe la dunia linalotaraji kufanyika nchini Qatar mwaka 2022 baada ya kupata ushindi wa magoli 4 kwa bila  dhidi ya timu ya North Macedonia kutoka kundi J.

Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia moja ya bao walilofunga dhidi ya Northen Macedonia.

Magoli mawili ya mshambuliaji Timo Werner, Kai Havertz na Jamal Musiala  yametosha kuwapa nafasi Ujerumani tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa duniani baada ya kufikisha alama 21 huku akisaliwa na michezo miwili  dhidi ya Liechtenstein nyumbani mwezi November na ugenini dhidi ya Armenia.

Baada ya kuwavusha Ujerumani, Kocha Hansi Flick atakuwa na kibarua pevu cha  kusaka mafanikio zaidi kwa taifa hilo baada ya miaka 15 ya mtangulizi wake Joachim Low kuwapa kombe la dunia mwaka 2014 nchini brazil na kombe la mabara mwaka 2017 nchini Urusi.

Hii itakuwa mara ya 20 kwa taifa la Ujerumani kushiriki kombe la dunia wakiwa nyuma ya  Brazil ambao wameshiriki mara 21 huku Ujerumani wanarudi wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kuondoshwa kwenye hatua za makundi kama bingwa mtetezi mwaka 2018 nchini Urusi.

HABARI ZAIDI

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu