Picha ya Kocha Steve Bruce
Hivi sasa wapo kwenye mpango wa kumpata mrithi wake kabla ya mchezo wao dhidi ya Crystal Palace mwishoni mwa wiki hii huku Paulo Fonseca kocha wa zamani wa Roma, Lucien Favre na Eddie Howe wanatajwa kuchukuwa nafasi yake pale St. James' Park.