Thursday , 16th Dec , 2021

Haya ni makazi ya Simba wa vita Hayati Dr Rashid mfaume Kawawa ambayo yapo katika kata ya Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo nyumba hii ina historia kubwa ya uhuru wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kitanda na handaki kwa chini

Nyumba hiyo inaelezwa ilikuwa na handaki kubwa ambalo linaanzia chumbani kwake chini ya kitanda cha hayati Dr Rashid Mfaume Kawawa.

Tazama video hapo chini