Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo
Taarifa hiyo imetolewa leo Desmba 28, 2021, na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, na kusema kwamba hata hivyo uchunguzi bado unaendelea.
Tazama video hapa chini
Polisi mkoa wa Arusha wamesema kwamba mtoto anayetuhumiwa kumuua mama yake ambaye alikuwa mfanyabiashara wa madini aitwaye Ruth Mmasi, na kisha kumtupa kwenye shimo la choo, anaendelea kutoa ushirikiano kwa polisi hali iliyopelekea kupata baadhi ya vielelezo vinavyohusiana na tukio hilo.