Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipotembelea soko la madini ya Tanzanite Mirerani na kushuhudia uchongaji wa madini hayo siku za hivi karibuni
Maelekezo hayo ameyatoa akiwa Mirerani wilayani Simanjiro alipohitimisha ziara yake ya siku nne kwenye mkoa wa Manyara ambapo licha ya kushukuru kwa zawadi hiyo ila akaagiza iuzwe kisha fedha zitakazopatikana zitumike kujenga bweni moja kwenye shule iliyopo Simanjiro






